Kibabage naye aitwa stars - EDUSPORTSTZ

Latest

Kibabage naye aitwa stars

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mlinzi wa kushoto wa Yanga Nickson Kibabage ameongezwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kilichoweka kambi nchini Tunisia kujiandaa na mchezo wa mwisho kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2023 dhidi ya Algeria


Kibabage aliondoka nchini mapema kuelekea Tunisia kuungana na wachezaji wenzake wanaoendelea na maandalizi ya mchezo huo utakaopigwa Septemba 07


Anakuwa mchezaji wa nane katika wachezaji wa ndani wa Yanga walioitwa Taifa Stars


Wengine ni Metacha Mnata, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Mudathir Yahya, Jonas Mkude na Clement Mzize


Jumla ya wachezaji 12 wa Yanga ambao ni karibu nusu ya wachezaji wote wameitwa timu za TaifaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz