Hii hapa Droo ya 16 Bora Carabao, Man United watupwa pabaya - EDUSPORTSTZ

Latest

Hii hapa Droo ya 16 Bora Carabao, Man United watupwa pabaya

 Man United watakutana na Newcastle

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mabingwa watetezi, Manchester United wamepangwa dhidi ya Newcastle United iliyochuana nayo kwenye fainali ya kombe hilo msimu uliopita.


Washika Mitutu, Arsenal watachuana na Wagonga nyundo, West Ham United katika dimba la Emirates, Liverpool imepangwa dhidi ya Bournemouth huku Chelsea ikikutanishwa na Blackburn Rovers.


Manchester United vs Newcastle United


Arsenal vs West Ham


Liverpool vs Bournemouth


Chelsea vs Blackburn Rovers


Everton vs Burnley


Fulham vs Ipswich Town


Exeter vs Middlesbrough


Mansfield vs Port ValeDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz