Djuma Shabani atimkia Azam Fc - EDUSPORTSTZ

Latest

Djuma Shabani atimkia Azam Fc

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Aliyekuwa mlinzi wa kulia wa Yanga Djuma Shabani amejiunga na klabu ya Azam Fc


Hata hivyo imeelezwa usajili wake haukukamilika ndani ya muda wa usajili hivyo ili kuweza kuitumikia Azam Fc katika mechi za mashandano, itamlazimu asubiri mpaka dirisha dogo la usajili 


Djuma anakuwa mchezaji wa tatu kujiunga na Azam Fc akitokea Yanga baada ya Feisal Salum na Yannick Bangala


Uongozi wa Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said ulishtukia mapema mpango Djuma na Bangala kuibukia Azam Fc baada ya Feisal


Wachezaji hao kila mmoja alikuwa bado na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga lakini baada ya msimu uliopita kumalizika wakawasilisha barua kwa uongozi wakiomba kuvunja mikataba yao


Yanga iliwawekea ngumu na kuwataka wafuate utaratibu kama wamepata timu na wakati huohuo wote wakaenguliwa kikosini


Azam Fc imelazimika kulipa pesa kununua mikataba ya wachezaji haoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz