Chama alamba dili la ubalozi - EDUSPORTSTZ

Latest

Chama alamba dili la ubalozi

 Chama alamba dili la ubalozi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama amesaini mkataba mpya wa binafsi na duka la vifaa vya michezo.


Chama amewaambia wafuasi wake kupitia Instagram kuwa anayo furaha kusaini mkataba huo.


"Nina furaha kuwajulisha kwamba nimesaini mkataba na @roby_sportswear ukiwa ni muendelezo wa ushirikiano wetu ambao tuliuanza miezi kadhaa iliyopita. Viatu vimekuwa ni sehemu muhimu kwenye utambulisho wangu, lakini pia kwa kila binadamu. Kwahiyo ushirikiano huu ni zaidi ya mimi kutangaza viatu tu, bali nitakuwa nafanya kitu ninachokipenda nje ya mpira.


Robby, endelea kutupendezesha ndugu yangu, sikukuu inakuja."Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz