CAFCC: Singida wawachapa Future 1-0 - EDUSPORTSTZ

Latest

CAFCC: Singida wawachapa Future 1-0

 #CAFCC: Singida wawachapa Future 1-0

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Singida FG wametanguliza mguu mmoja kuelekea mchezo wao wa marudiano baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Future FC ya Misri.


Mchezo huo uliokuwa wa kushambuliana kwa kupomezana, umepigwa jana Septemba 17 kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar ambapo goli hilo liliwekwa wavuni na Elvis Rupia.


Ushindi huo ni muhimu na sasa wanacho kibarua cha kwenda kulilinda goli hilo katika mchezo wa marudiano ili waweze kusonga mbele katika Kombe la Shirikisho Barani AfrikaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz