Alonso kocha mpya Real Madrid - EDUSPORTSTZ

Latest

Alonso kocha mpya Real Madrid

 Alonso kocha mpya Real Madrid

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kiungo wa zamani wa Real Madrid na Liverpool, Xabi Alonso atajiunga na klabu ya Real madrid msimu ujao kama kocha mkuu wa kikosi hicho.


Alonso amechaguliwa na Madrid ambao ni mabingwa mara nyingi barani Ulaya kuwa mrithi wa Carlo Ancelotti ambaye atatimka klabuni hapo.


Kocha huyo mwenye umri wa miaka 41 kwa sasa anakinoa kikosi cha Bayer Leverkursen ya Ujerumani.


Kabla ya kugeukia ukocha Alonso aliwahi kuvitumikia vilabu vya Real Sociedad, Eibar na Bayern Munich pamoja na Liverpool, Madrid.


Alonso aliwahi kuwa kocha mkuu wa kikosi cha Vijana cha Real Madrid ( Castilla) na Real Sociead za Hispania.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz