Viingilio; Yanga vs JKT Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Viingilio; Yanga vs JKT Tanzania

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 kesho Jumanne, August 29 2023 Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam kumenyana na JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC


Mchezo muhimu kwa Yanga kwani matokeo ya ushindi yanaweza kuwahakikishia kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi


Viingilio vya mchezo huo VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz