Viingilio fainali Ngao ya Jamii - EDUSPORTSTZ

Latest

Viingilio fainali Ngao ya Jamii

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili August 13 katika uwanja wa Mkwakwani


Viingilio hivyo ni kwa mechi zote mbili, Mzunguuko ni Tsh 20,000/- na VIP B ni Tsh 30,000/- 


Mechi ya kwanza ya kusaka mshindi wa tatu kati ya Azam Fc dhidi ya Singida FG itapigwa saa 9 alasiri na kufuatiwa na mchezo kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa saa 1 usiku pia utakuwa live kwenye app yetu BOFYA HAPA SASA KUIDOWNLOAD



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz