Taarifa Mpya kutoka Yanga Leo August 07 - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka Yanga Leo August 07

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Tanga kushiriki mashindano ya Ngao ya Jamii Yanga ikitarajiwa kucheza na Azam Fc katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali siku ya Jumatano


Yanga imeondoka jijini Dar es salaam ikiwa na kikosi chake kamili ambapo Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa Tanzania Bara Miguel Gamondi, atatumia mechi za Ngao ya Jamii kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Asas Fc


Mechi ya mkondo wa kwanza ambayo Yanga itakuwa ugenini inatarajiwa kupigwa August 20 ambapo huenda mchezo huo ukapigwa nchini Tanzania


Timu hizo zitarudiana wiki moja baadae katika mchezo wa pili ambao Yanga itakuwa mwenyeji


Yanga inakwenda Tanga ikiwa na dhamira moja, kutetea Ngao ya Jamii ambayo wametwaa katika misimu yote miwili iliyopitaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz