Taarifa MPYA kutoka Simba Leo Alhamisi - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa MPYA kutoka Simba Leo Alhamisi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Wakati huu wa mapumziko ya kalenda ya CAF, kikosi cha Simba huenda kikaelekea nchini Kenya kuweka kambi ya muda mfupi kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Power Dynamos


Mchezo huo wa mkondo wa kwanza kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi, utapigwa Septemba 16 kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa huko Zambia


Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amehitaji kupata mechi tatu za Kimataifa za kirafiki kama sehemu ya maandalizi ya kuhakikisha Simba inatinga makundi ya ligi ya mabingwa


Gor Mahia, Polisi Kenya na Bandari zinaweza kuwa miongoni mwa timu ambazo Simba itacheza nazo huko Kenya


Baada ya mapumziko ya siku chache, Simba ilirejea kambini Bunju juzi na jana kuanza mazoezi rasmiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz