Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye siku muhimu kwa Klabu ya Simba (Simba Day) itakayofanyika Jumapili, Agosti 6, 2023. Klabu ya Simba imemshukuru Dkt Samia kwa mchango wake mkubwa kwenye sekta ya Michezo na Maendeleo ya Taifa kwa ujumla na kumkaribisha kwenye tukio hilo muhimu kwa wapenda michezo wote nchini Tanzania.
Kumbuka sherehe zote zitakuwa mubashara kwenye app yetu Bure bofya hapa kuipakua sasa ili usipitwe
No comments:
Post a Comment