Nimetoa Bil 3 kufanikisha usajili - Mo - EDUSPORTSTZ

Latest

Nimetoa Bil 3 kufanikisha usajili - Mo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Rais wa heshima klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema katika dirisha hili la usajili, ametoa takribani Tsh Bilioni 3 ili kufanikisha usajili wa wachezaji mbalimbali


Mo ametoa angalizo kwa wapenzi na wanachama wa Simba kuwa wasije kupotoshwa kuhusu ushiriki wake katika michakato ya usajili msimu huu


Mo amewajibu wale wanaosambaza uongo kuwa tajiri huyo amejiweka pembeni baada ya mchakato wa mabadiliko kucheleweshwaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz