Mpenja kuunguruma Simba Day - EDUSPORTSTZ

Latest

Mpenja kuunguruma Simba Day


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Kwa sasa habari ya Mjini ni Tamasha kubwa la Michezo Simba Day ambalo litafanyika kesho Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa


Shamrashamra zitaanza saa 5 asubuhi na kuhitimishwa kwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Simba dhidi ya Power Dynamos ya Zambia majira ya saa 1 usiku


Wanasimba wameweka rekodi kwa kuzinunua tiketi zote za Tamasha siku tatu kabla


Kwa wale ambao wamekosa tiketi wataishuhudia Simba Day kupitia Azam TV


Mwamba wa Umalila, Baraka Mpenja atautangaza mchezo kupitia Azam TV majira ya saa 1 usiku pia Mechi itakuwa live kwenye App yetu Bure kabisa bofya hapa kuidownloadDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz