Matokeo Yanga vs Jkt tanzania Leo 29 August 2023 NBC Premier League - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Yanga vs Jkt tanzania Leo 29 August 2023 NBC Premier League

 


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Wananchi wanaendeleza vichapo katika ligi kuu ya NBC leo ikiwa zamu ya JKT Tanzania wakipewa kipimo sawa na walichopewa watoza ushuru wa KMC

Ni 5G nyingine imeshuhudiwa uwanja wa Azam Complex leo Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 5-0

JKT Tanzania walitumia muda mwingi kwenye kipindi cha kwanza kujilinda, hata hivyo; hawakuweza kumzuia Stephane Aziz Ki kuifungia Yanga bao la kuongoza kwenye dakika ya 45 kupitia mpira wa adhabu

Kipindi cha pili Yanga ilirejea kama Mbogo aliyejeruhiwa na hapo ndipo JKT Tanzania 'wakajuuta' kuwafahamu Wananchi

Mabao ya Kennedy Musonda, Yao Yao na mabao mawili ya Maxi Nzengeli yalitosha kuihakikishia Yanga kuondoka na ushindi mnono

Wananchi wamejikita kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama sita na mabao 10 ya kufungaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz