MATOKEO Yanga vs Azam FC Leo 09 August 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Yanga vs Azam FC Leo 09 August 2023




Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

  Yanga imetinga fainali ya Ngao ya Jamii kibabe kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa Mkwakwani


Yanga ilihitaji dakika 45 za kipindi cha pili kumaliza mchezo kwa mabao mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na Clement Mzize


Ilikuwa mechi ya upande mmoja katika kipindi cha pili Yanga ikifanya 'sako la nyani' langoni kwa Azam Fc


Pengine Azam Fc washukuru wamefungwa mabao mawili tu kwani ni mechi ambayo wangeweza kuondoka na mzigo wa mabao

Usikose Kuitazama mechi Ya Simba vs Singida FG LIVE Kiganjani Mwako kupitia App yetu BUREEE kabisa Bofya HAPA Kudownload ili uweze Kutazama Mubashara Kiganjani Mwako Popote Duniani,



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz