Mane afanyiwa vipimo Al Nassr, kutambulishwa muda wowote - EDUSPORTSTZ

Latest

Mane afanyiwa vipimo Al Nassr, kutambulishwa muda wowote

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Sadio Mane amefanyiwa vipimo vya afya na klab ya AL Nassr na hivi karibuni anatarajiwa kutambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu hiyo.

Sadio Mane amefanyiwa vipimo vya afya na klab ya AL Nassr na hivi karibuni anatarajiwa kutambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu hiyo. Mane alikuwa ni mchezaji wa Bayern Munich lakini ameambiwa atafute timu kwa kuwa hayupo katika mipango ya Kocha Thomas Tuchel.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz