Kikosi cha Simba vs Yanga Ngao ya Jamii 2023 August 13 - EDUSPORTSTZ

Latest

Kikosi cha Simba vs Yanga Ngao ya Jamii 2023 August 13

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kikosi cha Simba Sc vs Yanga August 13 2023 Line Up,Kikosi cha Simba vs Yanga 13 August 2023, Kikosi cha Simba leo, Kikosi cha Simba 13.8.2023,Simba Sports Club Line Up Ngao ya Jamii

Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida ulimalizika 0-0.


Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ilitumika kuamua mshindi, Simba SC ilifanikiwa kutinga fainali kwa ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC.


Sasa Simba SC itacheza fainali dhidi ya Yanga SC kesho Jumapili ya August 13 2023 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga saa 19:00 wakati Singida watawania mshindi wa tatu dhidi ya Azam FC katika mchezo wa mapema.

Kikosi cha Simba Sc vs Yanga August 13 2023 Line Up

Usiku.


1:Ally Salim

2:Shomari Kapombe

3:Mohamed Hussein

4:Kennedy Juma

5:Che Malone Fondoh

6:Sadio Kanoute

7:Clatous Chama

8:Mzamiru Yassin

9:John Bocco

10:Saido Ntibanzonkinza

11:Luis Miquissone


Wachezaji wa Akiba

12:Hussein Abel

13:Hussein Kazi

14:Izrael Mwenda

15:Fabrice Ngoma

16:Aubin Kramo

17:Will Essomba Onana

18:Moses Phiri

19:Jean Baleke

20:Kibu Denis

Its Yanga SC vs Simba in Ngao ya Jamii Final 13 August 2023
13/8/2023 19:00 Yanga vs Simba Final Mkwakwani, TangaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz