Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Mtibwa Sugar imethibitisha kuwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utapigwa Uwanja wa Manungu, Turiani
Awali kulingana na taarifa iliyokuwa imetolewa na Mkuu wa mkoani wa Morogoro Mh Adam Malima, jitihada zilikuwa zikifanyika mchezo huo uhamishiwe uwanja wa Jamhuri
Mchezo utapigwa leo Alhamisi, August 17 majira ya saa 10 jioni
Simba itakwenda huko kwenye mashamba ya miwa ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa mwisho uliopigwa msimu uliopita
Jean Baleke alifunga hat-trik na kuondoka na mpira katika mchezo huo ambao Simba ilitumia dakika 45 tu kuiangamiza Mtibwa
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally ametamba kuwa msimu huu watahakikisha wanaondoka na alama tatu katika kila mchezo
"Tunahitaji alama tatu kwenye kila mchezo ili tutimize malengo yetu ya kutwaa ubingwa mapema," alisema
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 Jioni pia mechi hii itakuwa live kwenye app yetu kama bado hujaipakua Bofya hapa Sasa kudownload
KIKOSI cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar leo tarehe 17 August 2023, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2023/2024).
KIKOSI Cha Simba vs Mtibwa Sugar Leo
No comments:
Post a Comment