BREAKING: Man City wakamilisha usajili wa Josko Gvardiol - EDUSPORTSTZ

Latest

BREAKING: Man City wakamilisha usajili wa Josko Gvardiol

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Manchester City imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Croatia Josko Gvardiol kutoka RB Leipzig ya Ujerumani kwa Ada ya €90M.


Josko Gvardiol amesaini mkataba wa miaka mitano hadi Juni 2028, na anakuwa beki ghali zaidi Duniani.


Akizungumza mara baada ya kutambulishwa Josko amesema;


"Nimekuwa nikitamani siku moja kucheza Uingereza... mtu yeyote ambaye aliiona Man City ikicheza msimu uliopita anajua ni timu bora zaidi duniani."Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz