Alicho kisema Haji Manara baada ya Yanga kupokea kichapo kutoka kwa simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Alicho kisema Haji Manara baada ya Yanga kupokea kichapo kutoka kwa simba

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Haji Manara amewataka mashabiki wa Yanga SC kuyapokea matokeo ya dabi Kariakoo kwani ndio mpira ulivyo.


Manara ametoa kauli hiyo akiwa njiani kuelekea nchini Marekani ambako amedai anakwenda kuaandaa vipindi kwa ajili ya televisheni yake ya mtandaoni.


"Huu ndio mpira ulivyo una matokeo ya kikatili wakati mwingine hivyo lazima tukubali hata kama sisi tulicheza vizuri na wao wameshinda kwa penalti lakini lazima watuzodoe," alisema Haji.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz