Yanga yasajili 21, Simba 26 CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yasajili 21, Simba 26 CAF

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mpaka sasa Yanga imesajili wachezaji 21 katika usajili wa CAF ambao utafungwa Julai 31


Timu zinazoshiriki michuano ya CAF zinaweza kusajili hadi wachezaji 40, dirisha la hatua ya awali ndilo litakalofungwa Julai 31


TFF wamethibitisha kuwa Yanga wamesajili wachezaji 21 katika mfumo wa CAF


Zoezi la kuingiza majina ya wachezaji katika mfumo linaweza kufanywa kwa siku moja tu




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz