Yanga yafunga usajili na wachezaji nane - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yafunga usajili na wachezaji nane

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Dirisha la usajili la CAF litafungwa kesho Jumatatu, Julai 31 2023 habari njema kwa Wananchi ni kuwa timu yao imefunga usajili kwa wakati


Katika dirisha hili Yanga imesajili wachezaji nane pia ikiwapa mkono wa kwaheri baadhi ya wachezaji


Mshambuliaji Hafiz Konkoni alifunga usajili ambapo pia Yanga imewasajili nyota wa kigeni Gift Fred, Skudu, Pacome Zouzoua, Yao na Maxi Nzengeli


Jonas Mkude na Nickson Kibabage ni wachezaji pekee wa ndani waliosajiliwa katika dirisha hili


Wachezaji walioondoka ni Feisal Salum, Erick Johora, David Bryson, Djuma Shaban, Abdallah Shaibu na Mamadou Doumbia


Wengine ni Dickson Ambundo, Yannick Bangala, Tuisila Kisinda, Bernard Morrison na Fiston MayeleDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz