Yanga kutambulisha mshambuliaji Leo saa tatu - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga kutambulisha mshambuliaji Leo saa tatu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Maswali yalikuwa mengi kuhusu nafasi ya mshambuliaji anayechukua nafasi ya Fiston Mayele aliyeuzwa na kuijaza Yanga Bilioni 2.8


Yanga leo inajibu maswali yote kwa kumtambulisha rasmi mshambuliaji mpya


Tetesi zilikuwa nyingi lakini sasa majira ya saa 3 usiku Wananchi watapata kumfahamu mfumania nyavu huyoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz