Yanga kuanza na Asas Fc ya Djibout ligi ya Mabingwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga kuanza na Asas Fc ya Djibout ligi ya Mabingwa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Droo ya hatua ya awali na raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika Misri leo


Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wataanza hatua ya awali kwa kuwakabili Asas Fc ya Djibout mchezo wa kwanza ukitarajiwa kupigwa ugenini


Kama Yanga itafanikiwa kuvuka hatua ya awali, raundi ya kwanza itakutana na mshindi wa mchezo kati ya AS Otoho (Congo) dhidi ya El Merrikh (Sudan)


Yanga itaanzia ugenini katika hatua ya awali na raundi ya kwanza ambapo kama itafanikiwa kushinda itatinga hatua ya makundiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz