Usikose kuitazama mechi ya Nyasa Big Bullets vs Yanga mbashara hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Usikose kuitazama mechi ya Nyasa Big Bullets vs Yanga mbashara hapa


 Leo Yanga inaingia kambini Avic Town tayari kwa safari ya Malawi siku ya Jumatano kuitikia mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo katika maadhimisho ya sherehe za Uhuru zitakazofanyika Julai 06


Katika 'kunogesha' maadhimisho hayo, Yanga itacheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi Nyasa Big Bullets


Mechi itakuwa LIVE kwenye App yetu kama huna app hiyo au hujaidownload Bofya hapa kuidownload Bure kabisa, mechi itachezwa kesho kutwa alhamisi saa 10 jioniDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz