Taarifa mpya kutoka TFF ni kuhusu mashindano ya CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa mpya kutoka TFF ni kuhusu mashindano ya CAF

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezikumbusha klabu za Yanga, Simba, Azam Fc na Singida FG kukamilisha michakato yao ya usajili kwani dirisha la CAF linakaribia kufungwa


Dirisha hilo linatarajiwa kufungwa siku ya Jumatatu, Julai 31. Klabu zinazoshiriki Ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho zinapaswa kukamilisha usajili wake ndani ya muda huo


Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, mpaka sasa Singida FG na Simba zimesajili wachezaji 29, Azam Fc imesajili wachezaji 25 huku Yanga ikiwa imesajili wachezaji 24


Yanga na Simba zitashiriki ligi ya mabingwa wakati Azam Fc na Singida FG zitashiriki kombe la Shirikisho


Kila timu inaruhusiwa kusajili hadi wachezaji 40 kwa ajili ya mashindano ya CAF
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz