Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya ratiba ya mechi za Ngao ya Jamii kutoka, Simba itakuwa na takribani wiki nne za maandalizi kabla ya kuivaa Singida FG katika mchezo wa nusu fainali ambao utapigwa August 10 katika uwanja wa Mkwakwani
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema watakamilisha utambulisho wa wachezaji wapya kabla ya kikosi kuondoka
Bado wanasimba wanasubiri utambulisho wa mlinda lango, mlinzi wa kushoto na kiungo mkabaji ambao imeelezwa usajili wao umekamilika
Wachezaji wote wa Simba wamefanyiwa vipimo vya afya tayari kwa safari ya Uturuki
Post a Comment