Simba yamrejesha David Kameta - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yamrejesha David Kameta

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ni rasmi Simba imetangaza kumrejesha mlinzi wa kulia David Kameta 'Duchu' baada ya kiwango chake kuimarika


Katika misimu mitatu iliyopita, Duchu alizitumikia Biashara United, Geita Gold na Mtibwa Sugar kwa mkopo


Kulingana na taarifa ya Simba, benchi la ufundi limejiridhisha na kuimarika kiwango chake na sasa kumrejesha rasmi kikosiniDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz