Simba wafikiria kuahirisha kucheza na Power Dynamos - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba wafikiria kuahirisha kucheza na Power Dynamos

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Huwenda Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wakaahirisha kukipiga na mabingwa wa Zambia Power Dynamos siku ya Simba Day kutokana na kuwa na uwezekano nao katika Ligi ya Mabingwa Afrika.


Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, leo Julai 27, 2023 ametoa kauli hiyo alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya wachezaji waliopo kambini huko nchini Uturuki.


Ahmed alisema, uongozi wa juu wa Simba unafikiria upya uamuzi wao wa kucheza na Power Dynamos kwani waliwatangaza kabla ya Droo ya Michuano hiyo mikubwa kutangazwa na ilipotangazwa, wamejikuta kwenye nafasi ya kuweza kukutana nao.


"Viongozi wanaangalia faida na hasara ya kuendelea na uamuzi wa kucheza nao kisha tutatangaza hivi karibuni kama tutaendelea nao au vinginevyo," alisema Ahmed.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz