Simba kukipiga na Power Dynamos ya Zambia Simba Day - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba kukipiga na Power Dynamos ya Zambia Simba Day

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wanatarajia kukipiga na mabingwa wa Ligi Kuu ya Zambia, Power Dynamos FC.


Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 25, 2023, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally alisema, wanacheza na Power Dynamos kwani ni mabingwa ambao watashiriki mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.


"Wale ni mabingwa wa Ligi Kuu ambao watacheza Ligi ya Mabingwa Afrika hivyo ni kipimo vizuri kwetu," alisema Ahmed.


Ahmed alisema, kiingilio cha chini siku hiyo itakuwa shilingi elfu tano kwa eneo la mzunguko.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz