Rasmi: Mayele atua Pyramids Fc - EDUSPORTSTZ

Latest

Rasmi: Mayele atua Pyramids Fc

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ni rasmi aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele, amejiunga na klabu ya Pyramids Fc ya Misri


Pyramids wamemtambulisha Mayele kuwa mshambuliaji wao baada ya kukamilisha usajili wake kutoka Yanga


Ilikuwa misimu miwili bora kwa Mayele na klabu ya Yanga, usajili wake kwenda Pyramids umekuwa na faida kwa kila upande (Yanga na Mayele)Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz