Ngao ya Jamii yapelekwa Mkwakwani - EDUSPORTSTZ

Latest

Ngao ya Jamii yapelekwa Mkwakwani

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amesema kuwa mechi za Ngao ya Jamii zitapigwa uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga


Karia amesema kwa mara ya kwanza katika Ngao ya Jamii zitachezwa mechi tatu, mbili za nusu fainali na moja ya fainali


Karia amesema uwanja wa Mkwakwani utatumika kwa kuwa uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa bado umefungwa ukikarabatiwa


Timu nne zitashiriki Ngao ya Jamii ambazo ni Yanga, Simba, Azam Fc na Singida Fountain Gate FcDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz