Matokeo ya mchezo wa pili wa kirafiki Turan PFK vs Simba leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo ya mchezo wa pili wa kirafiki Turan PFK vs Simba leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mchezo wa pili wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Turan PFK umemalizika kwa Simba kupoteza kwa bao 1-0


Huu ulikuwa mchezo wa pili leo, asubuhi timu hizo zilichuana katika mchezo mwingine ambao Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-0


Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira alibadili kikosi katika mchezo wa pili kama ilivyokuwa kwa Turan PFK


Huo ni mchezo wa tatu wa kirafiki Simba imecheza huko UturukiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz