Mashabiki Arsenal vs Man United wazichapa Uwanjani (+Video) - EDUSPORTSTZ

Latest

Mashabiki Arsenal vs Man United wazichapa Uwanjani (+Video)

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mashabiki wa Arsenal na Man United walijikuta wakizichapa wakati wa mechi ya kirafiki baina ya Timu hizo uliopigwa Jana Jumapili huko nchini Marekani.


Katika mchezo huo Man United waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyowekwa wavuni na Nahodha Bruno Fernandes na Jadon Sancho wakati huu ambapo timu hizo zinajiandaa na msimu mpya 2023/24.


Licha ya mchezo kumalizika kwa United kushinda mabao 2-0 walikwenda kupiga mikwaju ya penati na Manchester United kwa mara nyingine wakaibuka wababe kwa ushindi wa penati 3-5.


Sasa Tanzaniaweb tumekusogezea Video uone Mashabiki wa Timu hizo wakirushiana makonde na kuzusha vurugu kubwa.


Tazama video hiyo hapa chini na utupe maoni yako



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz