Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ujio wa kocha huyo ni ishara sasa kazi inaanza ambapo siku ya Jumatatu atawakaribisha wachezaji wake pale Avic Town
Aidha wakati wowote Yanga itatangaza benchi la ufundi kabla na kuanza zoezi la kutangaza wachezaji wapya, zoezi linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga
Gamondi alipewa nafasi ya kuamua watu ambao atafanya nao kazi katika benchi la ufundi hivyo Wananchi watarajie kuona mabadiliko ya baadhi ya watu katika benchi lake
Nafasi zinazosubiriwa kutangazwa ni Kocha Msaidizi, Kocha wa magolikipa, Kocha wa viungo na mchambuzi wa sayansi ya mpira (Football Analyst)
No comments:
Post a Comment