Kibegi cha Simba kupigwa mnada leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kibegi cha Simba kupigwa mnada leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Leo saa 2:00 usiku mbashara kupitia #AzamSports1HD kibegi kilichopandishwa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro kwaajili ya uzinduzi wa jezi mpya za Simba SC kitapigwa mnada maalum pamoja na jezi zilizokuwemo.


Leo saa 2:00 usiku mbashara kupitia #AzamSports1HD kibegi kilichopandishwa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro kwaajili ya uzinduzi wa jezi mpya za Simba SC kitapigwa mnada maalum pamoja na jezi zilizokuwemo. Pesa zitakazopatikana kwenye mnada huo zitatumika kuchangia ujenzi wa wodi za Mama na Mtoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Hospitali ya Zanzibar.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz