Diarra, Aziz KI waiwahi Kaizer Chiefs kwa Mkapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Diarra, Aziz KI waiwahi Kaizer Chiefs kwa Mkapa


 Wachezaji wawili wa Klabu ya Yanga SC ,Kiungo Mshambuliaji Stephanie Aziz Ki pamoja na golikipa wa Klabu hiyo,Djigui Diarra wapo safarini kuja Tanzania tayari kwa kujiunga na Kambi ya timu hiyo iliyopo AVIC Town ili kujiandaa na Sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa,Jijini Dar Es Salaam


Wachezaji wawili wa Klabu ya Yanga SC ,Kiungo Mshambuliaji Stephanie Aziz Ki pamoja na golikipa wa Klabu hiyo,Djigui Diarra wapo safarini kuja Tanzania tayari kwa kujiunga na Kambi ya timu hiyo iliyopo AVIC Town ili kujiandaa na Sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa,Jijini Dar Es Salaam Yanga wanatarajia kutumia mchezo huo kutambulisha nyota wao wapya huku wakicheza Mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini Julai 22.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz