Breaking: Yanga yazindua jezi zao Mpya za msimu 2023/2024 - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Yanga yazindua jezi zao Mpya za msimu 2023/2024

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Yanga imezindua jezi zake rasmi kwa ajili ya msimu ujao wa 2023-24 ambapo uzinduzi huo umefanyika Nchini Malawi na kukabidhiwa kwa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera.


Hii ni mara ya kwanza katika historia ya mpira wa miguu jezi ya klabu ya Tanzania kuzinduliwa kwenye ikulu ya nje ya nchi mbele ya Marais wawili.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz