Breaking: Yanga yashusha kocha Mpya msaidizi - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Yanga yashusha kocha Mpya msaidizi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Yanga imemtangaza mshambuliaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Senegal Moussa Ndao kuwa Kocha Msaidizi wa mabingwa hao wa Tanzania


Ndao anachukua nafasi ya Cedric Kaze ambaye mkataba wake umemalizika


Ndao ambaye amewahi kucheza na kufundisha klabu ya Wydad Athletic, ni pendekezo la Kocha Miguel Gamonidi


Klabu ya Yanga imemshukuru na kumtakia kila la kheri Kaze ambaye amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichoshinda mataji saba katika misimu miwiliDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz