BREAKING: Simba wamtambulisha Onana usajili mpya - EDUSPORTSTZ

Latest

BREAKING: Simba wamtambulisha Onana usajili mpya



Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Uongozi wa klabu ya Simba, umefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa, Willy Essomba Onana (23) raia wa Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili.


Onana amesajiliwa kutoka Rayon Sports ya Rwanda ambapo msimu uliopita aliibuka mchezaji bora wa ligi kuu nchini humo.


Mchezaji huyo ndiye ingizo jipya la kwanza kwenye kikosi cha Simba ikiwa ni sehemu ya maboresho kuelekea Msimu mpya wa Ligi 2023/24.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz