Breaking: Simba yatambulisha mchezaji Mpya - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Simba yatambulisha mchezaji Mpya

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Ni rasmi Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Aubin Kramo kutoka klabu ya Asec Mimosas


Kramo ametua Simba kwa mkataba wa miaka miwili


Mwamba kwelikweli, anatua Msimbazi kuongeza makali eneo la ushambuliaji


Kama msimu uliopita Simba ilifunga zaidi ya mabao sabini kwenye ligi kuu, msimu ujao rekodi inaweza kuandikwa


Kwani eneo hilo sasa lina Essomba Onana, Kramo, Saido, Chama, Baleke, Phiri ni hatariiiiiiiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz