Breaking: Simba yamtambulisha Rasmi Luis Miquissone - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Simba yamtambulisha Rasmi Luis Miquissone

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Ni rasmi Luis Miquissone amerejea nyumbani baada ya misimu miwili. Simba imetangza rasmi kumsajili Miquissone kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea klabu ya Al Ahly


Wanasimba walisubiri kwa hamu urejeo wa Miquissone, Rais wa heshima wa Simba Bilionea Mohammed Dewji anastahili pongezi kwa kukamilisha ndoto ya Wanasimba


Haikuwa rahisi lakini imewezekana Miquissone ni Mnyamaaaa kwa mara nyingineDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz