Bangala, Djuma, Doumbia wapewa mkono wa kwaheri - EDUSPORTSTZ

Latest

Bangala, Djuma, Doumbia wapewa mkono wa kwaheri

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Pamoja na kuwa 'Thank You' zao hazikutangazwa, ni wazi Yanga imeachana rasmi na wachezaji Yannick Bangala, Djuma Shabani, Mamadou Doumbia na Fiston Mayele


Suala la Mayele liko wazi kwani hata huko anakoelekea kunafahamika, Bangala na Djuma walirejea kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya lakini ni wazi uongozi umewaruhusu wakatafute changamoto sehemu nyingine kama ilivyo kwa Doumbia ambaye 'hakuwaka' mapema


Kundoka kwa wachezaji hao hakutaacha 'pengo' kwa Yanga kwani uongozi umetumia vyema dirisha la usajili kuziba nafasi zao


Yao Yao, amechukua nafasi ya Djuma, wakati Jonas Mkude amechukua nafasi ya Bangala huku Gift Fred akichukua nafasi ya Doumbia


Mbadala wa Mayele anasubiri kutangazwa lakini wakati huohuo Kennedy Musonda anaendeleza pale alipoishiaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz