Yanga yaachana na Abdallah Shaibu Ninja - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yaachana na Abdallah Shaibu Ninja

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na mlinzi wa kati Abdallah Shaibu 'Ninja' baada ya mkataba wake kumalizika


Ninja amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa awamu mbili tofauti


Majeraha ya mara kwa mara yamechangia Ninja kutofikia matarajio ya wengiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz