Waziri atembelea kambi ya Yanga Algeria - EDUSPORTSTZ

Latest

Waziri atembelea kambi ya Yanga Algeria

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chana akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu wametembelea kambi ya timu ya Yanga iliyowekwa nchini humo kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiano fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger


Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi, Juni 03 katika uwanja wa July 05 1962 saa nne usikuDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz