Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wachezaji wanne wa Yanga wameiingia katika orodha ya kikosi bora cha mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC)
Mlinda lango Djigui Diarra, walinzi Ibrahim Bacca na Bakari Nondo Mwamnyeto pamoja na mshambuliaji Fiston Mayele wamejumuishwa katika kikosi hicho
Bacca na Mwamnyeto wameipa heshima Tanzania kuwa wachezaji wa ndani waliojumuishwa katika kikosi hicho
No comments:
Post a Comment