Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Collins Opare nyota wa Dodoma Jiji anatajwa kuwa kwenye hesabu za kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya kuongeza makali kwenye safu ya ushambuliaji.
Raia huyo wa Ghana ni miongoni mwa washambuliaji wenye mchango mkubwa ndani ya Dodoma Jiji akiwa ametupia kambani mabao 9.
Kwenye mchezo uliopita dhidi ya Namungo wakiwa ugenini bao pekee la ushindi lilifungwa na Opare mwenye ushikaji mkubwa na Bernard Morrison nyota wa Yanga.
Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ubao uliposoma Yanga 4-2 Dodoma Jiji, Opare ni miongoni mwa nyota waliofunga.
Post a Comment