TETESI: Bruno Gomes anukia Simba SC - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Bruno Gomes anukia Simba SC

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya kuhusishwa na Yanga SC kwa muda mrefu, upepo umegeuka na sasa nyota wa Singida Big Stars, Bruno Gomes anadaiwa kupandiwa dau na Wekundu wa Msimbazi, Simba SC.

Baada ya kuhusishwa na Yanga SC kwa muda mrefu, upepo umegeuka na sasa nyota wa Singida Big Stars, Bruno Gomes anadaiwa kupandiwa dau na Wekundu wa Msimbazi, Simba SC. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa, Simba na uongozi wa Singida upo kwenye mazungumzo ya mwisho na asilimia 90 ya mazungumzo hayo yameenda vizuri na Singida wanamuuza Bruno.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz