Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Jezi za klabu ya Yanga kwa ajili ya msimu wa 2023/24 tayari ziko nchini, kinachosubiriwa ni uzinduzi tu
Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema kesho Jumamosi katika Mkutano Mkuu wa Wanachama watatoa taarifa rasmi kuhusu uzinduzi wa jezi hizo
"Ni kweli tayari jezi za msimu ujao zipo, Jumamosi kwneye Mkutano Mkuu tutatangaza siku ya uzinduzi na utaratibu wa upatikanaji wa jezi hizo," alisema Kamwe
Mbunifu wa jezi za Yanga Sheria Ngowi ametamba kuwa jezi za msimu ujao ni bora zaidi na zitatikisa sio Tanzania tu, Aftika na hata duniani
Jezi za msimu uliomalizika zilikuwa miongoni jezi tano bora za klabu barani Afrika
No comments:
Post a Comment