Taarifa mpya kutoka Tff asubuhi hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa mpya kutoka Tff asubuhi hii

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa


Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo imewataka wadau wa soka kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu


Hivyo, TFF inaendelea kufuatilla ukiukaji huo ill kuchukua hatua stahiki. Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu


Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz